Ukitazama kwenye hizi digital unaweza kuona sio quality but quality, nawapongeza kwa ubunifu walioutumia yanga ,sababu hata ukitazama timu za EPl wakati wanazindua jezi huwa wana sema tumezindua jezi kwa sababu ya historical issue au kitu kilichotokea ndicho walichofanya yanga
Kuna wale madogo wanatoka chuo miaka mitatu ,wengine minne dogo anatoka hana kazi anaingia mtaani kilichobaki ni kubeba cheti nakukifanya kama kumbukumbu aisee, mpaka ugeuze elim kuwa kazi aisee ni kazi zaidi ya kazi "SO SAD"
Nakumbuka enzi za mwinyi zahera ilitungwa sherria ya kutokuvaa pensi kwa sababu ya zahera na baada ya zahera kutoka sheria hiyo ikafa @yangasc1935 nilikua nakumbushia leo ni TBT kwani sheria hizi huwa zipo kwa kigogo hiki tu au
BREAKING NEWS
Club ya wananchi young African sports club🇹🇿 imesaini mkataba na kampuni ya kubashiri SPORT PESA kuwa mdhamini mkuu kwa muda wa miaka 3 kuanzia sasa wenye thamani ya billion 12 ambapo kila mwaka young African watapata billion 4.
Kocha nasredine nabi tayari kashapokea tuzo yake ya tuzo bora aliyo itwaa msimu uliopita
♧♧kaomba siku 23 kwa wachezaji wake kuweza kupata fitness yakutosha , kwa mujibu wa bumbuli timu ipo kambini siku ya 3 sasa wakifanya mazoezi ya fitness