Sema washikaji mnawaumiza mno hawa mabinti aisee, yaani unakutana na binti hana hisia tena, hapendeki, kapigwa matukio hadi kaiva ukimwambia "I love you" anaishia kucheka😄.
Rayvanny amefikisha wasikilizaji 100M kwenye mtandao wa YouTube Music
Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki na Kati kufikisha wasikilizaji 100M YouTube Music ,Hongera sana @Rayvanny
Ngoma mpya ya @Marioo_tz#TETE imeingia kwenye orodha ya nyimbo 85 zinazotrend kwa sasa youtube dunia nzima yan "Music Videos Trending on YouTube Worldwide" ambapo kwa sasa inashika nafasi ya 58
Kwa Upande wa Tanzania #Tete inashika nafasi ya 1 Kenya ipo nafasi ya 7.
Darassa ameingia kwenye top 10 ya wanamuziki Tanzania waliotazamwa na kusikilizwa zaidi kwenye digital platforms kubwa 4 mwezi February
Inamfanya kuwa msanii wa kwanza wa hip hop Tanzania kuingia kwenye charts hizo YouTube,Boomplay,Audiomack & Spotify,
Big up sana Darassa
Album ya Marioo #TheGodson imeshika Trending no 1 kwenye digital platforms kubwa 3 Tanzania
The Godson ipo Number 1 Audiomack,Boomplay & Apple Music, Big Up Baddie #Marioo
Maisha yamejaa vitu vingi ambavyo hatuvipendi ila ndio sehemu ya maisha yetu ya Kila siku. Usiache kuitafuta furaha kila siku, Maana matatizo huwa yanakuja Yenyewe.