Congratulations to all election winners. In particular, we celebrate the many women who have broken barriers to climb the political ladder. Best wishes as you embark on your new responsibilities. Hustlers are counting on you.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole mara baada ya hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. @venusnyota
Rais Samia Suluhu amemteua Peter Ulanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Ulanga ni Mkurugenzi Mstaafu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF).
Hongera sana mheshimiwa balozi, toka nilipokutana nawe mara ya kwanza 2012, nilijua kuwa hakika wewe ni kiongozi, hata tulipokuwa katika NGO sekta bado ulidhihirika, hata sasa tumeona. Go brother best is yet to come @hpolepole
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba Waziri na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole baada ya Uapisho @venusnyota

SOMA HII 👇
Mume na mke walitembelea mbuga ya wanyama. Mara wakamuona nyani akicheza na mkewe. Mke akasema:
"Hawa nyani wanapendana sana. Tazama wanavyoenziana".
Wakasonga mbele zaidi wakawaona simba wawili, dume na jike. Simba jike alikuwa mbali kidogo na simba dume.......
"Nitoe angalizo kwa vijana wahakikishe kuna uhalisia baina ya mradi na mkopo wanaouomba, mara nyingi vijana wanaomba fedha kubwa kuliko thamani ya mradi wanaotaka kuendesha na hii ni moja ya sababu ya kukataliwa" - Amina Sanga, Afisa Maendeleo ya Vijana Ofisi Ya waziri Mkuu.
Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimshukuru Rais Samia kwa kuonesha kujali na kueleza kuwa msingi mkubwa wa kujenga taifa la Tanzania ni kusimama katika haki. @venusnyota

Nelson Mandela received countless awards, tributes and honours while in prison, after his release, as president of
South Africa, and even posthumously. Explore the wealth of awards and tributes bestowed upon him:
https://t.co/YnBihIpaAC
Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya MURIETI mkoani Arusha ACHA kutishia mteja wangu ambaye KESI yake imekwisha mahakamani. Huna MAMLAKA kisheria KUTISHIA na KUNYANYASA Watu. Huwezi kumpangia MTUHUMIWA atetewe na WAKILI gani. Muda mfupi ujao nitayaweka HADHARANI yote unayoyafanya.