Rasmi Real Madrid hawatatumia uwanja wao wa nyumbani ili.kumalizia mechi za ligi kwa sababu ya marekebisho.
Watatumia uwanja wa wachezaji wa timu B, Estadio Alfredo di stefano
Vita ya kupinga mauaji ya kikatili bado yanaendelea, Achraf Hakimi anabeba ujumbe wa kupinga mauji ya Floyd, mmarekani mweusi aliyeuliwa kikatili nnhini Marekani.
TAARIFA
Ratiba ya mechi zilizosalia za Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili msimu wa 2019/2020 itatangazwa na kutolewa kesho Jumatatu saa 4:00 asubuhi.
@tplboard@Tanfootball@VodacomTanzania@azamtvtz@KCBBankTZ
Mashabiki wa soka la Tanzania sasa ruksa kuingia uwanjani, isipokuwa kwa michezo mikubwa.
Watafata taratibu zote, ikiwemo kukaa umbali wa mita, kunawa mikono pamoja na kuvaa barakoa.
Mechi ya jana kwenye Bundesliga kati ya Shakle 04 na Wenderbremen, mchezaji wa Weston Mc Kennie alivaa kitambaa kilichoandikwa "Justice For George Floyd" ikionyesha kutaka haki dhidi ya kifo cha mmarekani mweusi kilichotokea wiki hii huko nnchini marekani, ambacho ni cha ukatili