@tanescoyetutz Pole na majukumu, samahani naomba kujua kama kuna gharama zingine anazozilipia mwananchi wa kijijini akitaka kuunganishiwa umeme tofauti na 27,000= naomba mnisadie tayari nimefunga wiring.πππ€
Dear afande CDF.
Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwako kwa kuongoza majeshi yetu ya ulinzi kwa utimamu na uadilifu mkubwa.
Sio siri, jeshi letu la wananchi siku zote limekuwa likiaminika kwenye missions mbalimbali za ulinzi wa amani chini ya miamvuli ya AU na UN
Uliwahi Kujiuliza ni Kwanini kuna Namba za Magari
yaani [Plate Numbers] tofauti tofauti Tanzania?
Sasa Leo Nimekuandalia Makala ndefu na iliyoshiba itakayojibu swali lako na natumai Utaelewa zaidi.
Shuka na Uziπ§΅π§΅
@QuadratEquation@fumbokhanJr Bora angesema nini kinafata baada ya Kunywa Pombe maana ni walevi wachache sana ambao siyo wazinzi na malaya. Hawa wanatuamdikia mambo ya ajabu kila siku humu
@fumbokhanJr Mnajifanyaga wasome ila siku nzima mnapost mambo ya kitoto humu ndani.
Na kwa akili zako hujui kama:-
WWE
MUSIC
NBA
CRIKET
GHOFU
CAR RASE
Nk
Yote ni sehem ya starehe, au lengo lako ni kupush Pombe humu na Mapenzi?
Pole na majukumu @tanescoyetutz niliwahi kuomba msaada kuhusu kuunganishiwa umeme nyumbani nikapewa majibu kuwa ni 27,000 tu na hakuna gharama zingine. Sasa nimetakiwa kulipia Tsh. 696,669= baada ya kuuliza nikaambiwa kwakuwa kuna nguzo mbili kufika mahari tulipo na mwenzangu