Nimeisikiliza Hatia V by @dizastavina Humu The black Maradonna anaendelea kutudhibitishia kuwa Hakuna rapper wala Emcee anaweza kumbeat kwenye sanaa ya Story Telling itafute isikilize na Hii ni Kali haiboi,Haichoshi na zaidi itakupatia pia Chakula Cha Ubongo
#HipHop@JabirSaleh
Wanadamu mara nyingi huhukumu kwa kuangalia sura, historia au maneno ya watu.
Mungu huona moyo na anajua ukweli wote.
Hii inatukumbusha kuwa waangalifu tusijifanye waadilifu huku tukificha makosa yetu.
HEKIMA 10 KUHUSU MAISHA
1. Usitumie Loudspeaker wakati unaongea na simu sehemu ya public.
2. Usitoe maoni kuhusu uzito wa mtu (kunenepa au kukonda). Haikuhusu.
3. Ukimpigia Simu mtu mara mbili na hazijapokelewa basi mtumie ujumbe akiuona atakutafuta
4. Usiende kwa mtu bila kualikwa.
5. Ukienda bafuni/chooni na kumaliza haja zako basi paache pakiwa safi kuliko ulivyovikuta. Kila wakati.
6. Kwenye lifti, waache watu watoke kwanza. Ni ustaarabu wa kawaida.
7. Mtu akikupa simu yake uone kitu, usianze kuperuzi (scroll). Hiyo ni imani aliyokupa.
8. Ukikopa pesa au ukiazima kitu kwa mtu basi rudisha. Sio kwanza kupigizana makelele
9. Ukienda nyumbani kwa watu mambo unayoyaona yaache hapo hapo. Usiyabebe na kutoka nayo nje
10. Ukiaminiwa, Aminika Kama hujui thamani ya uaminifu huwezi kuelewa madhara ya usaliti
Mjerumani mwenye urefu wa Mita 1.93, Manuel Neuer kwa sasa ana miaka 40 lakini bado anadaka na kuokoa mipira hatari kama kijana wa miaka 22. Huyu ni mwamba kweli kweli.
@ZakayoMmbaga Bhas kumiliki gari la thamani kubwa bongo ni msala aisee unanunua gari la pesa nyingi afu oil ndo inakua sababu ya gari lako kufa ๐๐๐๐