@ExMayorUbungo Suala sio kujiandikisha wala kupiga kura, suala ni kwamba namna ya mchakato wa uendeshwaji mpaka kufikia hatua ya kutangazwa kwa mshindi
@kauuzu Kama ni mwizi kweli ni halali yake kupigwa, Kwa Nini mwizi wa kiume akipigwa hakuna maneno mengi au ni halali Kwa mwanamke kuiba na sio Kwa mwanaume?