@ScholaDecaprado @kellenMbwambo @ms__hassan Achukue serum ya niacinamide, moisturizer ya tee tree na cleanser ya cerave ya oily skin plus sunscreen is a must
Je unaamini watoto wanaeza jifunza Kwa kutumia mitandao toka Shule ya Msingi ? unajua platforms zinazotoa Materials au Elimu Za kitanzania?
well Leo kwenye #InnovationWeekTZ Kuna mjadala wa namna tunaweza kufanikisha hili
Mradi wa @NyumbaNiChoo pamoja Na Result Based Finance (RBF) iliyobuniwa na @Kwezilukas imeeendelea kuwanufaisha wakazi wa Ngara kama anavyosema mbunge wa eneo hilo Mhe. Ndayisaba Luhoro. Miradi yenye tija ni siri ya ushindi kwa jamii nzima.
#Nyumbanichoo#SiriYaUshindi
Kama wazazi hawaongei na vijana balehe kuhusu changamoto za kiafya, Je, waalimu wao mashuleni wamewezeshwa kuzungumza taarifa za Afya ya uzazi kwa wanafunzi? Na kama walimu hawa fanya hivyo , vijana balehe wanapata wapi taarifa? #AfyaYaUzaziNiAfya#Chagua#BoreshaSera