Mpangilo wa uchunguzi kupitia majaribio na vipimo ili kupata ujuzi mpya ni Sayansi lakini utumiaji mzuri wa Sayansi ili ituletee matokeo au vitu vitakavyo rahisisha maisha na kutatua changamoto fulani kwenye maisha ya watu ni Teknolojia
Je Teknolojia ni zao la Sayansi? Think 🧐
Wanyamwezi wanasema “Sanga ng’oko yalalaga hibala yawaga nhwale” yaani kuku akilala nje tu anageuka kuwa kwale.
Maana yake kwa mfano ni kuwa mpenzi wako akichepuka mara moja tu hawezi kuacha anabadilika kuwa ndege pori. Piga chini kwale hiyo !!
MNEC ni mmoja tu Iringa ✅✅ tupo nyuma yako na hakuna asiyefahamu mchango wako kwenye Chama na maendeleo ya mkoa wa Iringa. @salimasas@salimasas@salimasas @ Vunjabei Group Limited https://t.co/9sRBky4SGz