Taarifa zilizotufikia pumde zinasema Dereva wa Makamu Mwenyekiti Chadema - Bara, John aheche aitwsye Suez Dani Maradufu amekutwa amefariki chumbani kwenye hoteli aliyofikia mjini Kigoma.
Heche na Kamati Kuu ya Chadema ipo mkoani humo kwa shughuli za chama chao
Saa chache baada ya kuzuiliwa kwa siri na kukatwa mawasiliano katika Uwanja wa Ndege nchini Uganda, habari za hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, amefukuzwa nchini Uganda (deported) na kurudishwa jijini Nairobi.
Cape Verde imeendelea kuandika historia Kombe la Dunia baada ya kulazimisha sare ya ya 2-2 dhidi ya miamba ya soka ya Amerika Kusini, Uruguay. Huu ulikuwa mchezo wa pili mfululizo kwa Cape Verde kupata pointi dhidi ya timu kubwa, baada ya kuwazuia Uhispania wiki iliyopita.
Ubelgiji (The Red Devils) walijikuta wakipambana vikali na kuishia kutoka sare ya pili mfululizo ya 0-0 dhidi ya Iran jana, katika mchezo uliotawaliwa na viwango bora vya makipa wa pande zote mbili na kadi nyekundu iliyoigharimu Ubelgiji kipindi cha pili.
Baada ya mshtuko mkubwa wa kutoka sare ya bila kufungana na Cape Verde katika mechi yao ya kwanza ya Kundi H, miamba ya soka ya Ulaya, Uhispania (La Roja), jana ilirejesha heshima yake kwa kutoa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0 dhidi ya Saudi Arabia.
Mchezo wa ufunguzi wa Kundi C wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 kati ya Brazil na Morocco uliopigwa leo kwenye Uwanja wa MetLife Stadium huko New Jersey umemalizika kwa sare ya kufurahisha ya 1-1.
Mchezo wa Kundi B kati ya Qatar na Uswisi (Switzerland) uliopigwa jana katika Uwanja wa Levi's Stadium huko Santa Clara, California, umemalizika kwa sare ya 1-1, huku Qatar ikijipatia pointi yake ya kwanza kabisa ya kihistoria katika mashindano ya Kombe la Dunia.
Mwenyeji mwenza wa Kombe la Dunia, Mexico, amefanikiwa kuanza michuano hiyo kwa kishindo baada ya kuifunga Afrika Kusini (Bafana Bafana) 2-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A uliopigwa jana kwenye Uwanja wa kihistoria wa Estadio Azteca, Mexico City.
Mwenyeji mwenza wa Kombe la Dunia, Mexico, amefanikiwa kuanza michuano hiyo kwa kishindo baada ya kuifunga Afrika Kusini (Bafana Bafana) 2-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A uliopigwa jana kwenye Uwanja wa kihistoria wa Estadio Azteca, Mexico City.
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, @therealjongwe ameandika ujumbe ufuatao; Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU