Kama unafanya course yeyote university na hujui utapata kazi wapi ama hauna God father wewe achia shule hapo ufungue biashara na hio pesa ya fees na ya helb otherwise itakua uchungu sana kumaliza course na usipate kazi
What do you mean you don't listen to Kenyan music!! Aje!?!
You mean: Nyashinski, Nikita kering, Njerae, Bridget Blue, Bien, Savara, Mutoriah, Kethan,Serro,Watendawili, H_Art the Band, and all the rest wanakuboo?...weee wacha bwana!!
Most boomers na gen x walikuwa na akili ya chuma bana. Unapata mtu anamaliza cryptic crossword na Kakuro puzzles ya Daily nation kila morning, puzzles ata wewe ukipewa unaskia brain imeenda on leave.