The first space hotel? NASA will allow private astronauts on the ISS for $11,250-$22,500 a day. Note that you still need to get there. https://t.co/NonSMIdMMx
Ni kweli apple ni la gharama kuliko nyanya ila haimaanishi kuwa linaweza kutengeneza mchuzi bora kuliko nyanya usijidharau hivyo ulivyo kwani ndani yako una kitu ambacho thamani yake haipimwi kwa fedha bali kwa namna kinavyo kidhi pale kinapo hitajika (JITHAMINI) #TUISHI 😍
Alejandro De Los Santo is the first and last black footballer to play for Argentina. De Los Santos won five caps for Argentina between 1922 and 1925, whilst playing as a forward. But why is this so? Every other south American team have had a decent amount of blacks represent them
Mchezaji wa zamani wa Morocco Mustapha Hadji amefungiwa miaka mitano kujihusisha na masuala ya kwa kughushi Leseni ya ukocha ya Caf 'A'.
Katika uchunguzi wa jopo la Nidhamu la CAF na Shirikisho la Soka la Afrika ya Kati,ilibainika kuwa cheti chake cha leseni 'A' ni cha uongo.