Lengo likiwa ni kiziweka wazi changamoto zao, kuwapa sauti, pia kuwatambulisha kwa watu pia serikali kulingana na umuhimu wao ili waweze kutumika kuimarisha #PHC tuko tayari kushirikiana na serikali kuweza kuwafikia wengi zaidi na kutatua changamoto zao
Sometimes March 2013
Wakili Fatuma Karume alisafiri kutoka Dar kwenda mkoani Kilimanjaro.
Wakili huyu alikuwa amesafiri akiwa amebeba nyaraka furani ya muhimu.
Nyaraka ile alikuwa anaenda kumsomea na kumkabidhi mzee fulani aliyefahamika kwa jina la Juma
Enyi Yesu na Maria na Yosefu, ninawatolea roho yangu, nafsi na uzima wangu.
Enyi Yesu na Maria na Yosefu, nijilieni saa ya kuzimia roho yangu
Enyi Yesu na Maria na Yosefu, mnifanyizie nife mikononi mwenu.
Tunaukimbilia ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina🙏
Ee Baba yetu Mungu Mkuu,
Umenilinda usiku huu.
Nakushukuru kwa moyo,
Ee Baba Mwana na Roho.
Nilinde tena siku hii,
Niache dhambi nikutii.
Naomba sana Baba wee,
Baraka zako nipokee.
Bikira safi, Ee Maria
Nisipotee nisimamie.
Mlinzi Mkuu Malaika wee,
Kwa Mungu wetu niombee,Amina.
Kumheshimu Mungu
Namtolea roho yangu
Nifanye kazi nipumzike
Amri zake nishike
Wazo, neno, tendo
Namtolea Mungu pote
Roho,mwili, Pendo na uzima wangu
Mungu nitampenda,
Dhambi sitatenda.
Jina lako nasifia
Utakalo hutimia
Kwa utii navumilia
Teso na matata
Nipe bwana Neema zako
Amina
Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
THREAD: Every generation carries a story — shaped by history, fueled by culture, and expressed through how we think, act, work, protest, lead, and dream. 🌍✨
Understanding these generational traits isn’t just sociology
🕊️ Mwaka Mmoja Bila Wewe, Baba
Leo tunahanua tanga — desturi ya kuheshimu safari yako iliyokamilika.
Upendo wako bado unaniongoza.
Hekima yako bado inanijenga.
Kumbukumbu zako bado zinanipa nguvu.
Lala kwa amani, Baba.
Daima utabaki kuwa nanga yangu. ⚓❤️
@Sativa255@HecheJohn@RailaOdinga you know i really do hate to say it but the government dont wanna say it but if MWL NYERERE was living he wouldn' t let this be