Wanaotafuta kulindwa na sheria ndio hao hao wanaokwapua mabilioni ya kodi za watanzania maskini na kutumia mtutu wa bunduki kuwanyamazisha. Umma wa watanzania ungekuwa unafahamu nguvu uliyonayo, hawa watawala wasingekuwa na ujasiri wa kuyafanya haya!
@SuluhuSamia
Ufunguzi wa Oparesheni ya +255 ni ukurasa wa kwanza kuelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kimfumo katika nchi yetu. Sisi kama CHADEMA tumezunguka mikoa mitatu, tumefanya mikutano kwenye wilaya 16, majimbo 25, Kata 403, Mitaa 367, Vijiji 1,211 na Vitongoji 7,028. Huu ni mwanzo tu wa kuhakikisha Watanzania wanatambua umuhimu wa Katiba Mpya na nafasi yao katika mabadiliko chanya ndani ya Tanzania.
Ukurasa wa kwanza umekamilika, tuko tayari kuandika kurasa zingine.
#255KatibaMpya
Kesho Feisal Salum atazungumza hadharani kupitia Clouds Media. Tangu Mgogoro wake na YANGA uanze hii inakuwa ni Mara ya Kwanza anazungumza na chombo cha habari kwa Kina kuhusu Maisha yake ya sasa. Kesho kuanzia saa 12 alfajiri kupitia Power Breakfast ya Clouds Feisal atazungumza.
MEI 2023 inakwisha, tunaingia JUNI 2023 ili tusafiri kwa treni ya umeme Dar-Morogoro
@WizarayaUJnaUC mlisema safari zitaanza Februari 2023, ilipofika, mkasema safari zitaanza Mei 2023. Safari tunayo?
MMM kazi yangu ni updates. Mlidhani MEI ni AFU MBILI na SABINI eeh? MAUONGO!
Mwamba @freemanmbowetz, Kata ya Igurubi, katika mkutano wa jioni Mei 29, 2023 Jimbo la Igunga, Ikiwa ni mkutano wake wa sita kwa siku ya leo.
Watanzania wana KIU ya Mabadiliko.🔥
#Plus255KatibaMpya
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora, wilaya ya Igunga, ahsante sana
Msirudi tena nyakati za UDIKTETA. Never, Never and Never again
@ChademaTz tumeeleza vizuri katika sera zetu za mwaka 2019 kuhusu Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi kwetu litakuwa “police service” siyo “police force”
Matukio katika picha, mkutano wa Alasiru Mei 29, 2023 kata ya Lugubu, jimbo la Igunga, Mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz.
#255KatibaMpya
Haya marekebisho ni hatari sana na kuna siku @SuluhuSamia atakuja kupata “taste of her own medicine” kwani itatumika dhidi yake na Rais mwingine!
Mtakuja kukumbuka nilisema hii alafu mtasema mi mtabiri ohoo 😅
Mi si mtabiri ila ninaheshimu sana KARMA!
#TutaelewanaTu lakini
Mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya Usalama
Je mnajua kuwa mapendekezo haya yalichapwa katika gazeti la serikali Mei 10, 2023? Itajadiliwa (na itapitishwa kiulaini) na Bunge!
Je mnajua kuna mabadiliko gani makubwa yamepangwa?
Tusibweteke #TutaelewanaTu
#Tanzania 🚨
Sungusungu Arusha wananyanyasa wananchi - wanawapa kesi na kuwatishia!
Kata ya Sinoni mkuu wao anaitwa Ally
Kata ya Sakina anaitwa Idrisa na ndo anasemekana ni mbaya zaidi!
Wanakula mirungi na kuumiza vijana!
@SuluhuSamia upo? @WizaraMNN mna taarifa? #TutaelewanaTu