Walevi wa Ile bar Wana sema jamaa akiendelea kuwaponda wa bongo kuhusu miss , na wao Wana fungua mafaili yake sijui ya kule snap , na yule mtoto wa mwisho kuzaliwa π
Kuna namna saivi Marathon zina ushawishi na kuungwa mkono na watu kuliko hata Festival, Ile festival ya wanetu wa pale mbezi ili ishia njiani pia Kuna Ile Festival ya Mawingu Ile ndo tume isahahu kabisa, una hisi kwann?
Kwa namna niffer anavyo mpambania miss wetu , hapa badae ukitaka kuoa Ina bidi upite kwa niffer uoneshe uoneshe namna ulivyo shiriki ku comment na kupiga kula wakati wa mashindano haya kama ukiwa huna ana kupiga mkasi π, kwaio tutunze risiti jaman lolote Lina weza kutokea
Leo wakati nakata ticket la bus kuelekea Arusha nika mwambie yule agent mi nataka siti ya nyuma aka jibu aaah una taka KUDOS π, khaa nime mshangaa yule dada
Ni kweli mwijaku aliona mbali kwamba miaka mitano mbele Mawingu yata poteza mvuto na ushawishi aka amua kutimkia kwenye taifa Linalo tawaliwa kifalme?π€