@TrillAlbie Tengeneza yako jamaa kajaribu,tusha zichoka jezi plain hakuna hata ubunifu Yani ukinnun ya mwaka huu na mwakani hata hazitofautiani Ndo maana watu wakinunua moja wanatulia wewe ukinunua mpya huna tofauti na aliye nunua msimu juzi si tunataka ubunifu kwenye jezi za taifa