It's my birthday! Ahsante Mungu kwa mema yote, nafurahi kuzaliwa leo.
Pichani enzi hizo..., mimi kushoto nikiwa na Mjomba wangu Albert. Namshukuru sana kushiriki katika makuzi yangu. #mungunimwema https://t.co/rEYCW6bW0J
Ni taarifa ya kusikitisha sana kuwapoteza wenzetu kwa ajali ya ndege. Pole sana kwa wafiwa na majeruhi wote wa ajali hiyo ya #precisionair https://t.co/MJOm5ugBsA
Ni vigumu kuamini kama hauko nasi tena Shem. Pole pole sana @chuchuhansy pole sana kwa Mama Chuchu kwa kuondokewa mpendwa wetu, pole sana ndugu jamaa na marafiki. Pumzika kwa amani @hudaa_hans https://t.co/RYVLQZKwPK
Kama Mshabiki wa Man U, kwa kweli nakili msimu huu tulikuwa na timu dhaifu sana..! Yaani ukiangalia kiwango cha leo City vs Madrid dah unagundua tuko nyuma kiasi gani kurejesha uwiano.
Mpaka sasa bado halijawekwa wazi ugonjwa uliompata licha kwamba inafahamika kuwa Clinton amekuwa na historia ya kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo. https://t.co/edA8Ss91Mq
Leo ni patashika soka, Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo wababe wa Uingereza Man City wakitoana jasho na Vinara wa Ufaransa PSG. https://t.co/icpwsl15PY https://t.co/5sf7UDW3Gz