@funjojr yakwanza ilihiitaji muendeleo kwasababu ilipoishia walitokea watu wanaovaanguo sasa tunalazimika kujua pale nini kiliendelea binafsi nataman kujua japo part 2 huwa zinaharibu muelekeo wa movie ila ntaangalia tu 😀
@Decoull27 @tsjusayo @_zolendronic 🤣🤣🤣🤣 mecheka sana ila bongooo watu wabishi sana vichochezii wanatumia ndo mana kuku awez kusimam kuhusu kuku watu wanahitaji wapate elimu kubwa sanaa Hasa hawa wavichochezi😅