#MY DIARY: Naanza na kusema usijifanye GOOGLE kubari kushauriwa, moja ya njia za mafanikio ni kukubari ushauri, siku kama ya leo bwana FERRUCIO LAMBORGHINI alinunua gari ya kifahari aina ya FERRARI, baada ya kuanza kuitumia aligundua kua gari hy ilikuwa ina mfumo mbovu wa krachi