Baba wa Milele, tunakutolea Mwili na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao mpenzi sana, Bwana wetu Yesu Kristu, kwa ajili ya malipizi ya dhambi zetu na dhambi za ulimwengu mzima!
Kwa ajili ya Mateso makali ya Bwana wetu Yesu Kristu, utuhurumie sisi na dunia nzima!
@AbroadTanzania Hakuna technology kubwa kuizidi ya MUNGU ,akiamua likupate hauna mahala pakukimbilia mkuu,na akiamua usife ata ukipigwa risasi mia za kichwa hufi ng'oo