Nilitafuna mdomo jana proper lol, shida ya iyo diabetic seizure huwa unajikula mwenyewe lol, saa hii hata sasa inatoka kama thatha, lol kwanza hosi niliamka nauliza kama gas ililipuka but inatoka kama gath, first thought ilikuwa walinifanyia experiments before memory iflood in
@Tausishoeplug@RealElvo Watu wengi wamenotice camel toe (it's sitting pretty btw) lakini mimi nimekwama hapo kwa size ya ugali. Hiyo ni portion ya watu wangapi mamuuu ?💀😭😭😭
Guilt inaeza fanya vitu weird sana juu watu nilisumbua jana wako sawa lakini mimi naskia i owe them a million apologies, despite my condition i still almost hurt people, niko alone in a corner just trying to go through everything that happened last night and its making it worse
Niko wedding Na I have realized kuwa Na familia Ni kitu mzuri buana , sai nataka niambie my aunties waniscoutie a good woman to marry.
Hapo Kwa suti mnisamehe,nimepewa asubuhi hawakuuliza measurement