Mzee wa photo-ops 😁😁😁
Yaani wazungu wanamkwepa maana mkipiga picha kwenye korido anaenda kubandika kuwa mmejadili na kukubaliana!
Sasa siku hizi hadi mabalozi wameanza huu usanii 😁
Sisi tungekuwa tunaweka picha tulizoweka na kuandika si mngejua mi ni mwanadiplomasia wa kimataifa?
Waziri mzima behaving like some overexcited schoolboy! Shame!
Eniwei #TutaelewanaTu maana #SamiaMustGo