Check out the latest article in my newsletter: Mbinu 3 za Kujenga Utamaduni wa Kushirikiana na Akili Bandia (AI) Bila Kuleta Hofu ya Kupoteza Ajira https://t.co/e2siMhsvLf via @LinkedIn
@privaldinho Asante GSM -kununulia watu ticket za mzunguko ni jambo jema ila tunaomba - yatengwe mageti ya watu wa mzunguko ili watu wanaolipia VIP A, B na C wasipate usumbufu na kila mtu afurahie mpira @YoungAfricansSC@AliKamwe - Asanteni
@ortamisemitz *Ushauri*
Wakati tunasubiri kampuni ya kuendesha huduma kule mbagara ni vyema kuruhusu daladala pekee kupita barabara ya mwendo kasi na kuacha barabara hii nyingine yapite magari mengine - ili kuonja raha ya barabara hizo wakati tunasubiri michakato ikamilike
My concern was more the outrageous demand that people *must* take the vaccine and multiple boosters to do anything at all. That was messed up.
Until the Supreme Court invalidated Biden’s exec order, SpaceX and many other companies would have been forced to fire anyone who refused to get vaccinated!
We would not have done so. I would rather go to prison than fire good people who didn’t want to be jabbed.
As for myself, I got original Covid before the vaccine was out (mild cold symptoms) and had to get three vaccines for travel. The third shot almost sent me to hospital.
How many other people out there have symptoms that are actually from the vaccine or Covid treatment, rather than Covid itself?
As for those who didn’t take any vaccine, well @DjokerNole just won a record number of grand slams …
It’s not like I don’t believe in vaccines – I do. However, the cure cannot be potentially worse than the disease. And public debate over efficacy should not be shut down.
There is also great potential for curing many diseases using synthetic mRNA, so let’s not throw the baby out with the bath water.
Tokea Samia aingie Ikulu kuna mkakati wa Katiba ya Zanzibar inabadilishwa kujitegemea zaidi na kuacha kuheshimu Katiba ya Muungano anaeleza yote Mzee Warioba,
Sikizeni hiyo, halafu watanganyika tuendelee kushadadia Muungano bila Tanganyika kuwepo na nchi. Mnayayaona yakifanywa ni mkakati.
Maeneo 5 ya kisekta kwenye bajeti ya 2023/24 yenye matumizi makubwa ya fedha;
Huduma za utawala - Trilioni 11.89
Deni la Taifa - Trilioni 6.31
Elimu - Trilioni 5.95
Ulinzi, Utawala wa Sheria na Usalama - Trilioni 4.68
Ujenzi, Usafirishaji na Mawasiliano - Trilioni 3.84
@mwigulunchemba1 Hongera sana kwa bajeti nzuri
1. Kwenye katazo la kila taasisi kuwa na uwezo wa kufunga biashara
2. Msuruhishi wa migogoro ya kodi
3. Mizigo yenye migogoro ya kodi kuruhusiwa kutoka bandarini
4. Umegusia Ukosofu wa taasisi za uwezeshaji tumejikita kudhibiti
@TanzaniaInsight@elonmusk Wengine wanasubiri huduma, wengine tunasubiri ajira, wengine wanasubiri tenda.
Inawezekana wenzetu serikali wametimiza malengo yao ya ukusanyaji wa kodi na bajeti.