Baada ya miaka miwili (Jul 2019-Nov 2021) ya kufanya kipindi cha kuelimisha jamii juu ya tatizo la usugu wa vimelea vya maradhi #AMR kupitia CMG.Huu ulikuwa ujumbe wangu kwa jamii session ya mwisho(Nov 2021). Hadi sasa huu ujumbe ni wa muhimu kuzingatia.
#AntimicrobialResistance
Karibu kutembelea banda la Baraza la Famasi Katika maonesho ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
@einsteinLucky1 @YusuphMbilinyi8@ummymwalimu Mkuu,huo sio uhalisia!
Kama tweet yako ya 2/2 inavyosema kuwa huu muundo wa madaraka ni applicable kwa hospitali kubwa, labda unaweza clarify "hospitali kubwa" kwako ipoje!?
Hapa chini ni Kurugenzi kwenye hospitali ya taifa,hakuna hiko kitu👇
https://t.co/6Rya349cwx
@Ally0049@YusuphMbilinyi8 Hilo halipingiki ni kweli! Na mantiki ya clarification niliyotoa kwenye tweet ya awali ilikuwa sio kupinga kuwa hawatumiki ipasavyo bali kuelewesha juu ya mazoea yanayochukulia kuwa wafamasia "wanauza dawa".
It has been a while here😀
Chief wangu @YusuphMbilinyi8 tueleweshane kidogo! Mfamasia hauzi dawa (Hii phrase inatumika kilayman/kimazoea)!
Mfamasia anasimamia na kutoa huduma za dawa!
Kabla ya kuendelea na mjadala tuone hapa kidogo kisheria utaratibu wa huduma inabidi iweje👇👇
Hivi Mfamasia wa nchi hii anasoma 4yrs kwa ajili ya kuuza dawa tu? Nadhani tunahitaji tuende hatua mia zaidi ya hili,wafamasia wanasoma vitu vingi vya kusaidia mageuzi makubwa katika sekta yetu ya Afya
@Ally0049@YusuphMbilinyi8 Nadhani unafahamu uhalisia ulivyo likija swala la vipaumbele kuwaajiri (Rejea namba za ajira kwa kada ya afya za hivi karibuni). Watageuza sekta yetu ya afya iwapo sera zitatekelezwa na kuhakikisha wapo ndani ya sekta wa kutosha! Hawawezi geuza sekta wakiwa nje.