TUNAUZA TANK ZA KUWEKEA MAJI ZA LITA 1,000 | PIA TUNA MAPIPA, NDOO NA VITU VINGINE VINGI.
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackbagamoyo@afyakiganjani@joackagrovet @joackanimalclinic
TUNAUZA TANK ZA KUWEKEA MAJI ZA LITA 1,000 | PIA TUNA MAPIPA, NDOO NA VITU VINGINE VINGI.
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackbagamoyo@afyakiganjani@joackagrovet @joackanimalclinic
Mwanamuziki @harmonize_tz ameikata show yake ya Mtwara ambayo alitarajia kuitanya January 1,2025 kutokana na changamoto za usafiri.
.
Harmonize ameainisha hayo kupitia Instastory yake ambapo amesema kuwa amekosa Ndege binafsi ambayo ingemsafirisha kutoka Kenya anapopiga show
Mume wa miaka 42 kutoka Lusaka, Zambia amewasilisha talaka mahakamani baada ya mke wake, mwenye umri wa miaka 34, kupiga picha na msanii maarufu wa R&B kutoka Marekani, #ChrisBrown.
.
Picha hiyo, iliyopigwa wakati wa hafla ya “meet and greet” baada ya tamasha
Watu 47 wamefariki dunia baada ya ndege ya abiria kutua kwa dharura kisha kushika moto katika uwanja wa ndege wa Kusini-Magharibi mwa Korea Kusini, idara ya zimamoto ya eneo hilo ililiambia CNN.
.
Ndege ya Jeju Air, 7C 2216, iliyokuwa ikitoka Bangkok, ilikuwa na jumala ya
Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024
.
Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kweny
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika usiku wa Disemba 28/ 2024 jijini Dar es Salaam ambalo halikua la ubingwa na kupigwa TKO
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika usiku wa Disemba 28/ 2024 jijini Dar es Salaam ambalo halikua la ubingwa na kupigwa TKO
Baada ya Msanii kutoka Nchini Kenya @willy.paul.msafi kudai kuwa Kolabo aliyoifanya na rayvanny ni Takataka kwenye Show iliyofanyika jana Nchini Kenya, #Rayvanny ameandika ujumbe huu..
“Mimi ni Mtanzania Napenda mashabiki Wote wanao support Rayvanny Duniani kote, ILA SIKU
Baada ya Rapa #JayZ kutajwa kushirikiana na #Diddy Kumbaka Binti wa Miaka 13 Mwaka 2000, #JayZ amejitokeza na kukanusha madai hayo na kumkosoa Wakili #TonyBuzzbee ambae anasimamia kesi hiyo.
.
Mshtaki anayejulikana kama "Jane Doe," anadai kisa hicho kilitokea baada ya kupelekwa
Meneja wa @diamondplatnumz@sallam_sk amefunguka kuwa swala la Diamond Kutoimba kwenye tamasha la #FurahaFestival usiku wa jana ni maswala ya WCB na waandaaji wa show sio sababu kuwa #WillyPaul alilazimisha kupanda kabla ya Diamond
.
Hii kweli ni Makondafication, wananchi wa dini zote wameitika
Mkuu wa Mkoa wa Arusha @baba_keagan amefanya tukio kubwa na laina yake mkoani humo la kuwakutanisha viongozi mbalimbali wa dini na kufanya maombi ya pamoja na kwaajili ya kuuombea mkoa huo pamoja na Taifa.
Mhariri, Dawati la Uchumi wa gazeti la Mwananchi, Ephrahim Bahemu amesema usafiri wa anga ni miongoni mwa sekta muhimu za kiuchumi kwa watumiaji na wasioutumia huduma hizo moja kwa moja, lakini unawanufaisha.
Bahemu amesema sekta hiyo ndiyo usafiri wa haraka hivi sasa kuliko
#HABARI Wasiwasi kwamba serikali ya China inaweza kupata data nyeti ya mtumiaji kupitia app ya video fupi ya TikTok, ambayo inamilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance, imesababisha serikali ya Marekani kupitisha sheria ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii isipokuwa iuzwe
Mkurugenzi Mtendaji wa UnitedHealthcare #BrianThompson, 50, alipigwa risasi na kuuawa Jumatano asubuhi nje ya Hilton katikati mwa jiji la Manhattan, ambapo alipangwa kuhutubia wawekezaji.
.
Msako sasa unaendelea kumtafuta mtu aliempiga risasi ambaye polisi