Is there a country that has more marathons than Tanzania? People in this country should be fit. Every weekend thereβs a marathon. There is a marathon for everything. A marathon for a wedding. ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ
@CoxstoreTz Halafu ukishakata nenda whatsapp then nenda kwenye call logs za whatsapp. Ifungue number ya mtu uliyempigia then chagua kumtumia message ya whatsapp. Utakua umeweza kuwasiliana na huyo mtu kwa Whatsapp bila kusave namba yake. Mwisho.
@CoxstoreTz Then bonyeza na usiachie Call kisha itashuka drop down menu ambayo utaona options za kupiga kawaida au kwa whatsapp. Piga kwa whatsapp. Kama unataka kuongea na huyo mtu kwa whatsapp endelea. Au kama vipi kata kabla haijaingia kwa huyo unayetaka kuwasiliana naye
@CoxstoreTz Unaweza pia kutumia call function kwenye iphone. Sijaweza kujaribu kwenye Android but iphone nimedhibitisha na ndio hua natumia hivi. Kwanza dial namba ya mtu kawaida halafu kata kabla haijaita. Then nenda kwenye call logs kama kisha bonyeza hiyo i