ukicheza fumbo kila siku utaongeza uwezo wako wa kufikiri, wa kukumbuka na pia uwezo wa muda wa kufanya kitu kwa umakini. #fumboapp#kiswahili#swahili#chemshabongo
Tunawapongeza washindi wote waliojishindia 10,000/=. Tutakuja na njia nyingine ya ushindi hivi karibuni baada ya kuona mapungufu kwenye njia iliyokuwepo. Endelea kucheza fumbo kila siku uchangamshe akili, share kwa ndugu na marafiki. #fumboapp#kiswahili#swahili#chemshabongo
@MimahTiny kutoka mkoa wa Dar-es-salaam ndio mshindi wetu wa funbo la jana . Kama kawaida neno jipya litakujia saa mbili usiku, mtu wa kwanza kushare ushindi wake na kukutag instagtam na twitter @fumboapp#fumboapp ndio ataondoka na ushindi. #kiswahili#swahili#chemshabongo
@EmmanuelMgina11 kutoka mkoa wa Ruvuma ndio mshindi wetu wa fumbo leo. Kama kawaida neno jipya litakujia saa mbili usiku, mtu wa kwanza kushare ushindi wake na kukutag instagtam na twiiter @fumboapp#fumboapp ndio ataondoka na ushindi. #kiswahili#chemshabongo
@JustinMwaibako kutoka Mbeya ameshajishindia 20,000/= baada ya kushinda kwa mara ya pili fumbo la jana. Neno jipya litakuja saa mbili kila siku, cheza, share na ushinde kila siku. #fumboapp#kiswahili#swahili#chemshabongo
@VumbiJeusi kutoka mkoa wa Songwe tayari hadi sasa ameshajishindia 20,000/= baada ya kuwa mtu wa kwanza kupata na kushare fumbo la leo. Kumbuka Neno jipya linakujia saa 2 usiku kila siku, cheza, share na ushinde! #fumboapp#kiswahili#swahili#chemshabongo
@g_lackius kutoka mkoa wa Mwanza ndio mshindi wetu wa fumbo leo. Kama kawaida neno jipya litakujia saa mbili usiku, mtu wa kwanza kushare ushindi wake na kukutag instagtam na twiiter @fumboapp#fumboapp ndio ataondoka na ushindi. #kiswahili#chemshabongo
@lukombocho kutoka mkoa wa Songea ndio mshindi wa fumbo tayari ameshatumiwa 10,000 yake. Neno jipya linakuja saa 2 usiku, cheza, share, shinda! ni rahisi kihivyo. kumbuka kututag @fumboapp#fumboapp twitter na instagran. #kiswahili#chemshabongo
@ZealAfrican kutoka Nyegezi, Mwanza ameshatumiwa 10,000/= kama mshindi wa fumbo la jana. Kumbuka neno jipya linakuja saa 2 kamili, cheza, tutag #fumboapp@fumboapp ushinde. #kiswahili#chemshabongo
@SallekoGetrude kutoka Manyara ndio mtu wa kwanza kushinda fumbo mara mbili, ameshatumiwa 10,000/=. Neno jipya litakuja saa mbili usiku, kumbuka wa kwanza kushare ushindi wake twitter na instagtam na kututag @fumboapp#fumboapp ndio mshindi. #chemshabongo#kiswahili
@EmmyMalila kutoka mkoa wa Ruvuma ndio mshindi wa fumbo la leo na tayari ameshatumiwa 10,000/=. Unahisi mshindi anayefuata atatokea mkoa gani? kumbuka neno jipya linakuja saa 2 usiku. #fumboapp#kiswahili#chemshabongo
@EmmanuelMgina11 kutoka mkoa wa Ruvuma ndio mshindi wetu wa fumbo leo. Kama kawaida neno jipya litakujia saa mbili usiku, mtu wa kwanza kushare ushindi wake na kukutag instagtam na twiiter @fumboapp#fumboapp ndio ataondoka na ushindi. #kiswahili#chemshabongo
@robert_mwanuke kutoka mkoa wa Rukwa ndio mshindi wa fumbo la leo. Tayari ameshatumiwa 10,000/= ya ushindi. Kumbuka neno jipya linakujia saa mbili kamili kila siku na ukishare usiweke jibu kwani utaharibu mchezo wa watu ambao hawajapatia neno. #fumboapp#kiswahili#chemshabongo
Wikendi imeanza vizuri kwa mshindi wetu wa leo imeanza vizuri kwa mshindi wetu wa leo @amina96768443 . Karibu upakue fumboapp na kucheza. Utakapolipata neno tutag @fumboapp Instagram na twitter, karibuni .