Top Tweets for #fumboapp
Endelea kupambana ipo siku utafanikiwa #methalizetu #methali #methalizakiswahili #kiswahili #swahili #fumboapp

Ebu tuambie maana ya mshua na chanzo chake? Je ni baba, mtu mwenye pesa au? #fumboapp

Tunawapongeza washindi wote waliojishindia 10,000/=. Tutakuja na njia nyingine ya ushindi hivi karibuni baada ya kuona mapungufu kwenye njia iliyokuwepo. Endelea kucheza fumbo kila siku uchangamshe akili, share kwa ndugu na marafiki. #fumboapp #kiswahili #swahili #chemshabongo

@EmmanuelMgina11 kutoka mkoa wa Ruvuma ndio mshindi wetu wa fumbo leo. Kama kawaida neno jipya litakujia saa mbili usiku, mtu wa kwanza kushare ushindi wake na kukutag instagtam na twiiter @fumboapp #fumboapp ndio ataondoka na ushindi. #kiswahili #chemshabongo

@JustinMwaibako kutoka Mbeya ameshajishindia 20,000/= baada ya kushinda kwa mara ya pili fumbo la jana. Neno jipya litakuja saa mbili kila siku, cheza, share na ushinde kila siku. #fumboapp #kiswahili #swahili #chemshabongo

@VumbiJeusi kutoka mkoa wa Songwe tayari hadi sasa ameshajishindia 20,000/= baada ya kuwa mtu wa kwanza kupata na kushare fumbo la leo. Kumbuka Neno jipya linakujia saa 2 usiku kila siku, cheza, share na ushinde! #fumboapp #kiswahili #swahili #chemshabongo

@ZealAfrican kutoka Nyegezi, Mwanza ameshatumiwa 10,000/= kama mshindi wa fumbo la jana. Kumbuka neno jipya linakuja saa 2 kamili, cheza, tutag #fumboapp @fumboapp ushinde. #kiswahili #chemshabongo

Mshindi wetu wa leo @AstonOffman kashajipatia 10,000 yake. Neno jipya lipo tayari shiriki ushinde nasi #fumboapp #kiswahili

Mshindi wetu kutoka Uyole @JustinMwaibako ameshapata 10,000 yake, hata wewe unaweza kucheza na kushinda. Karibu ushiriki Fumbo. #fumboapp #kiswahili

Mshindi wetu wa leo @VumbiJeusi ameshajishindia 10,000. Karibu ucheze mchezo wa kuchangamsha ubongo, ukiwa wa kwanza kututag Instagram na twitter nawe utashinda. Neno jipya linakuja kila saa 2 usiku #kiswahili #fumboapp #michezoyakiswahili

Mshindi wetu wa leo @sallekogetrude kutoka Hanang Manyara amejishindia 10,000 . Tuendelee kucheza kukikuza kiswahili chetu. Neno jipya linatokea saa 2 usiku (kila siku), karibuni #fumboapp #kiswahili #michezoyakiswahili

Mshindi wetu wa jana @Claryita1 kutoka Moshi alijaribu zaidi ya mara moja. Hatimae jana ikawa siku yake.. Karibuni nanyi mshiriki Fumbo, wa kwanza kututag Instagram na twitter ndio atakua mshindi wetu wa siku hiyo na atajishindia 10,000 #fumboapp #kiswahili

Mwezi mpya, mchezo mpya! Jishindie 10,000/= ukiwa wa kwanza kushare neno sahihi la siku kupitia fumbo app. Share on twitter na instagram na kutag @fumboapp. Download fumbo app kwenye android kupitia link hii https://t.co/THSvbwicbf #fumbo #fumboapp #kiswahili

Pakua fumbo app leo ufurahie mchezo wa kuchangamsha akili wa lugha ya kiswahili #fumboapp #kiswahili

Last Seen Hashtags on Sotwe
etimesgutpasif
Seen from Turkey
抖音风
Seen from Germany
momson((()))*+filter:native_video
Seen from Ukraine
SMUCandidates
Seen from United States
موجب_مكه
Seen from Egypt
فيمبوًي
Seen from United Kingdom
cp taboo
Seen from United States
ภูเก็ตนัดเจอ
Seen from Thailand
alex10ofc
Seen from Italy
momson() + filter:native_video
Seen from France
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.4M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.9M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.2M followers

X 
@x
60.8M followers



