EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Kuna Binti Familia Yake Inamtafutaa Mno
kwa Majina
Anaitwa Dainess Raphael Sisa
Miaka:28
Mahali pa tukio: Tabata shule
Mara Ya Mwishoo Alipigwa Risasi ya Tumbo
Kwa Mwenye Taarifa zake Awasiliane na Ndugu kwa Namba
0717 873 056 Cecil
Tanzania hakuna nchi tena. Huu ndio Uchaguzi uliofanyika….
Yani it’s seems waliwapa watu vitabu wakatiki nyumbani then siku ya uchaguzi wakawa wana submit. Embu ona wasmamizi wanaenda kabisa kuwaonyesha cha kufanya.
Jamani Tanzania Imevamiwa, Tanzania imetekwa
Dada wa TAIFA katuhakikishia hatarudi kwenye UMBEA ambao ulikuwa ndio unampa pesa.
Sasa atafocous na ukombozi wa hili taifa, na anaamini UKOMBOZI upo karibu sana tuendelee kushikamana na kuamini inawezekana.
Mpaka sasa ni kama tumekula Ng'ombe mzima na kubakisha mkia. Kwasasa kinachotakiwa ni kurudi mezani na kuchora ramani mpya ya mapambano.
Kama tulivyofanya mara ya kwanza pia sasa tufanye vile vile. Wewe una mawazo gani kuelekea mbele kutoka hapa tulipo. Mbele yetu ni UKOMBOZI wa taifa.
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
Mzee alipata mshituko
Akapelekwa hospitali ya Rufaa mbeya. Huko hakupata msaada wa matibabu zaidi ya drip za maji.
Natumiwa ujumbe na bi mkubwa mzee ameondoka😰
Jana mteja wangu aliniuliza why simpigi picha?
So here are some reasons why your nail tech anaweza asipige picha au kupost kazi zake kadhaa.
1. Kama umechagua common colors or exactly designs from their pages. Colors like Plain red or white on toes zinakuwa zimejirudia sana.
@GraceNguo Try kufanya manunuzi AliExpress kuna vitu vyetu vingi vya kucha kule afu ni very cheap,kama hiyo Kolinsky 16 bei 2,621 tena free shipping, lasttime nili order Kolinsky 12&14 total cost haikuzidi hata 10k but within 2weeks mzigo ukawa umenifikia.