@incredible_nory@FatmahShokat Hahaha hii punch yako ya bibi yako unatusumbua nayo sana wana Bunge ila sio kesi alikua mwalimu wetu na sunvita tumefata sana juu
Baada ya miaka 4 kupita bila kufika Arusha hatimaye nipo tena na wanangu wa TUKUSA,tukutane tarehe 6 jumamosi hii kwenye TUKUSA FESTIVAL itayofanyika Ubalozi wa Ufaransa pale kama ambavyo bango linajieleza 📌
Wakubwa @YoungAfricansSC kwenye kutuma hela Tofali la Ubingwa muweke Lipa No ya CCM kabisa kupunguza Makato x2 ya kuweka na kutoa
Team sio Kabila na hujalazimishwa asietaka kuchangia ahamie Simba SC,,, Yanga tuna Historia kubwa na Chama chetu pendwa CCM.
UFAFANUZI KUHUSU MCHANGO WA Tsh 100M uliotolewa kwa (CCM).
Mchango ule ulitolewa na GSM Foundation na sio kupitia hela za Wanachama au kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato wa Klabu. GSM Foundation imeshirikiana na Yanga SC, kwa kipindi cha miaka 3 kutoa fedha na misaada kwa jamii na makundi mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Yanga inaomna radhi kwa Wanachama, na Mashabiki mpira wa miguu kwa usumbufu wowote uliojitokeza kupitia sintofahamu hii.
Kama vijana wa CCM, tunao wajibu wa kuenzi na kuendeleza maono yake kwa kuthubutu kuwa viongozi wa kweli, wenye sauti huru, ushawishi wa hoja, na uzalendo usioyumba. PUMZIKA KWA AMANI JOB YUSTINO NDUGAI #TANZANIA#ZANZIBAR#ALIPOMAMAVIJANATUPO@ccm_tanzania https://t.co/P7W2EovYQX