@Sirjeff_D kuna watu bhna huna hata 10 zaidi ya bando afu uko apa unaanza kusema jmaa ela cyo zake. Kipind kile cha korona jmaa a/c zake za fx zilkua znasoma 700M alionyesha,apo ukiweka na ela za katani😂 na jmaa he is only 26 tu na unakuta ww upo kwa dada ako apo stop hating get inspired
Hutakiwi kufikiria ni pesa kiasi gani utatengeneza wiki hii.Badala yake jiulize; Je ninayo mikakati ya kuniwezesha kukaa kwenye hili game kwa miaka 20?
Kama ukifanya ivo pesa itakutafuta sokoni #fxkidwisdom