Blue for me, pink for mama Curry. Hata siyo bei ghari sana, imagine zote mbili ni TSH. 10K tu. #SmellFynBeFyn#FYNbyFalsafa
Kwa Morogoro ni karibu kabisa na kituo cha daladala za pale mjini.
cc @FYNbyFalsafa@MwanaFA
#FYNbyFalsafa imekuwa sehemu ya Wadhamini wa Tamasha la BAGAMOYO Festival litakoanza Tarehe 19 hadi 26 Oktoba 2019.
Waungwana wa BAGAMOYO tunamleta Mmachinga wenu @mwanafa na ile huduma ya kunukia vizuri inatinga Bagamoyo. #SmellFYN#BeFYN#BagamoyoFestival cc @cloudsplus255
#FYNbyFalsafa kwa TSH.5,000/= unanukia vizuri kabisa 😍😍 #BeFyn#SmellFyn.
Morogoro mjini zinapatikana karibu na stand ya hiace (daladala) duka linatazamana na kile kijiwe pendwa cha KAHAWA na KASHATA na MIHOGO ya kuchoma 😁😁.
cc @MwanaFA@FYNbyFalsafa
DAR ES SALAAM! Ukiwa mitaa ya Kinondoni, Mwananyamala sehemu ya uhakika kupata Unyunyu wa Taifa ni kwenye Maduka ya ROBBY ONE FASHION.
Unaweza kufanya order yako kwa Jumla kwenye Namba ya 0766170270 au 0715170270 #SmellFYN#BeFYN#FYNbyFalsafa
Kwa Manguli wa ‘Cosmetics’ Tanzania! S.H AMON Unyunyu wa Taifa #FYNbyFalsafa upo ndani ya Mjengo
#TARIME: Mzigo upo Dukani kwa TITO ATHUMANI
(0768491258),Barabara ya Kenyata #SmellFYN#BeFYN#FYNbyFalsafa
Mabaharia huu Mchongo wa Unyunyu hauna mipaka, ni Unyunyu wa Taifa.
#FYNbyFalsafa mjini MOSHI Unyunyu upo ALEGANCE Point, MOSHI - Kilimanjaro, KIBO Tower Room 9 (0767210202) .
#SmellFYN#BeFYN#FYNbyFalsafa
Heri ya siku ya kuzaliwa ‘Kapten’..kubwa la mabaharia @JabirSaleh 🤣..Mola akuweke na akupe kheri zote za kumpendeza yeye Shareef..we ni mtu safi sana..🙌🏾
Baada ya mishe, Binamu yako @MwanaFA anakupa Mchongo kutoka POA SUPERMARKET wanatoa huduma Saa 24 🛒🛍 .
#FYNbyFalsafa ipo ndani ya Mjengo.
POA SUPERMARKET ‘Life Park’ MWENGE, MIKOCHENI, TEGETA Kibaoni na MBEZI Beach
#SmellFYN#BeFYN#FYNbyFalsafa
Watu wa Mungu wameamka na kuEnjoy Kideo chao huku wananukia vizuri.📺 WE ENDELEA TU 🎶
#MOSHI: ALEGANCE POINT, Kibo Tower duka Namba 9 (0767210202) ndo Mpango mzima wa kupata Unyunyu wa #FYNbyFalsafa kwa Bei za Jumla na Reja reja.
#SmellFYN#BeFYN
Nimeipata kwa mbinde sana
Na nataka niwe supplyer mkubwa sana wa hii kitu especially uku kusini maana maitajio ni makubwa, kuna population ya kutosha na hii kitu hamna nmeipata TBS pale mbagala @MwanaFA