Ukiwa mgeni TL unaweza kuona haya mambo ni mapya, watu walikuwa wanalipwa Kupush # za kesi za mchongo, wakadhulumiana ndo tukaja kujua. Walitoleana maneno hapa ndo nikaja kujua kila mtu anapambania kitu chenye faida nacho.
Anyway Bro bado deal la pesa anayoitaka halijafika tu.