@fptz66@Davviddi oya wee hivi umewahi kumsikiliza Fally Ipupa vizuri, hata kama hujui kifaransa we skiliza tuu huezi toka bure๐ . Hawa Kenge wadogowadogo mpaka waseme.
@kalage_jr Hawa jamaa wangejua ni namna gani Mziki wa Rhumba, Zile band zetu zilizopendwa [ OTTU, Mlimani Park, Orchestra n.k] zinaburudisha jamii kuliko TAKATAKA zao wasinge'Bwatuka' Kisimbe vile.
@KennedyMmari Siku ikitokea umechelewa kutoka na kuna sehemu ya muhimu sana unawahi, wazo la haraka ni "kuchukua boda" ukiamini kuwa jamaa akikatiza shortcut mbili tatu utakuwa umefika, hapo utskuwa kuwa umesaidika na utaona sawa...waacheni vijana wajitafute bana. Boda this Boda that๐