@HESLBTanzania Wakuu changamoto yangu ni kwenye kusaini mimi natumia Didis application inamsumbua wakati wasaini siwezi ata kuingia naomba mrekebishe jamani tuna uhitaji wa pesa ๐
@HESLBTanzania@Click618 Wengine system za chuo ni mbovu matokeo ndio wamepandisha jumatatu hii kwenda bodi๐ nawaomba sana wakuu mnipangie allocation๐ nina hali ngumu huku chuoni
@HESLBTanzania@HESLBTanzania wakuu tunawaomba sana mtuangalie na ss continuing students tulio appeal jmn iyo kesho trh 4 na sisi mtupangie mkopo tuna hal ngumu uku vyuoni tunawaomba sana sana๐
@HESLBTanzania Habari@HESLB Tanzania nina swali hivi kwanini account bado inataarifa ile ile ya kufunguliwa kwa dirisha mpk tarehe 20 wakati dirisha limeshafungwa?
@HESLBTanzania Jamani@HESLBTanzania nawaomba mtukumbuke na sisi continuous tunapata tabu huku vyuoni hali imezidi kuwa ngumu๐ญ mlisema awamu nyingine mpaka tarehe 8 na leo tarehe 10 na bado nikiingia kwenye account mnasema subiri tarehe 8๐ซ๐ญ
@MsigwaBandeke@dreamchaser_255@HESLBTanzania@HESLBTanzania mimi niliombaga mkopo mwaka 2019 lakin sikufanikiwa kupata so sikuweza kwenda chuo sasa hivi nataka niombe tena mkopo lakin account yangu bado ipo active inaonyesha mwaka wa masomo 2019-2022 ambapo sikufanikiwa kusoma nifanyeje ili niweze kuwa na account mpya?
Pata Tsh 7000 kwa haraka. Mikopo nafuu na Branch. Pata programu ya Branch: https://t.co/52yJrnbp5N hakikisha umetumia kodi ya promo asia0e9a8 ili upate Tsh 7000 ukishamaliza kurejesha mkopo wako wa kwanza.