Unaingia hivi supermarket kushtua umaskini ukicheck bei ya telefishon unapata kuna mtoto analilia mama Yake eti anataka keki ya 950 na toys za 2500. Alafu mama Tu anaclick anamuangalia bwana Yake alafu wanatingiza vichwa wanaenda kumtolea. Hio ndio gani sasa. Mimi unajua nikiwa mdogo walikuwa wanapika mboga ingine kienyeji very bitter na ukikataa unapigwa na mwiko? Nimejam nikatoka na entry Mimi.