Yaani Mapenzi hayaelewiki hata yanataka nini...?
Maskini anasalitiwa, Tajiri anasalitiwa pia
Mbaya ni pale mwenye nia ya Kukuchezea ndio anaonyesha mapenzi ya dhati balaaa
Tarehe 6 Jan Doctor ninajambo langu
#Vizuri#Hayaeleweki
Wanangu Kurya Gan, Tarime na Kanda Ya Ziwa Nisikilize Leo Kwenye Dj Planet Na @kingdavybabananii hapo @official_sachita_radio @sachitafmradio88.1
#Zuhura Link On My Bio
#Gami_Creation_Presents#Support_Tusonge https://t.co/lyGblUYhKE
Ahsanteni Sana Jamani
Maswali yamekua Mengi sana, Niwahakikishie tu
"Soon Nitaongea na Waandishi Wa Habari" na Mtafahamu Kila Kitu kuhusu #Zuhura#Support_Tusonge#Gami_Creation_Presents#Zuhura https://t.co/5ITN5dEqLC
Ukimwambia tu @nathan_gamideetz Njoo Uchane Nywele anageuka Kukuangalia Hivyo then Anachimba
#Prince_Nathan
๐ท By @right_maker_ https://t.co/rK7QRmX2sZ