Mmiliki wa timu ya Azam FC Jamal
Bakhresa amefanya mahojiano na Kocha Mchezaji @mshambuliaji na kusema Azam FC haitendewi haki kwenye Ligi Kuu, huku akienda mbali zaidi kuwa licha ya uwezekaji mkubwa wao lakini imekuwa kazi bure kwa kutotendewa haki Uwanjani.
Jamal Bakhressa amesema kama TFFB na Bodi ya Ligi hawawataki ni bora wawaambie ili watafute Ligi nyingine ya kushiriki.
#KitengeSports
Nimetengeneza odds 13 game ya Brazil niweke 100K,
Nikaona hapana๐ nikatengeneza ingine 12 game ya SA, hapa niko nimepiga magoti 2nd half itoe kona 4 kadi 5 na Korea ashinde ndo niwin maana Brazil ishatoa๐ ๐ ๐ ๐
An'tamaa๐
Show zetu wanazijua โSportybetโ vizuri.๐
Juzi odds 107 kapasukaโtena kijiji cha watu zaidi ya 1,000 kilifuata mkeka.
Hili ngolo lao hapa kwenye page yangu limetoka moyoni kabisa.