Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.
@MariaSTsehai You should stop it Maria,it's enough and let people heal ans gain their strength back,most people are going through a lot including mental health,if it's that a must please come to Tz and ukae mbele kabisa or bring your family along si wako Tz.
@fatma_karume I guess its not right kusema mila za wengine ni ushirikiana,nadhani kila mtu abaki na mila zake!!!!!Wangoni kwao ni kawaida sana kufanya hivi,tukianza mambo haya tunakosea sanaaaa
Did anyone else notice in the #BintiMovie how amazing this kid was? Didn’t speak much but man his facial expressions to match a moment were just too good 👏🏼
Betty White turns 100 on Jan. 17 and is inviting fans to celebrate with her in a special movie event called "Betty White: 100 Years Young — A Birthday Celebration." https://t.co/xKJTjTWyHA