#TajiriLaKihaya
Ila pale CHADEMA kamati kuu kuna Uozo mkubwa saana… kuna vibaraka wengi saana- wanaotoa taarifa !
Huwezi sema siri yoyote ile kwenye kikao…. Kuna watu wanapokea mshahara mara mbili kama GAMONDI mule!
Kuna watu hawana kazi maalum mjini ila wamenunuliwa majumba na magari …wanaishi maisha mazuri hadi inafikia wakati wanadharau kazi za Udaktari,Ualimu,upolisi…
Na ndio maana LISSU ameamua kuchukua Form ili Asafishe upya-
Na hataki UCHAWA wala wapiga kelele mitandaoni… KAZI KAZI💯
Tulipofikia saa hizi- siasa za upinzani zinahitaji mtu kama LISSU ambae amenyooka kama ruller, Hawezi kua Compromised na vijisenti, mtu ambae amekiona kifo haogopi tena…
Tunahitaji mwanaharakati Halisi kama Raila Odinga na hapa tanzania tunae TUNDU LISSU💯
Huwezi niambia mtu aliechaguliwa kuwania URAISI kwa ticket ya Chama leo hii hao hao wajumbe waseme hawezi kuwa mwenyekiti wa chama😂
Kila lakheri MWENYEKITI wetu siku ya leo-dunia nzima inajua wewe sio MUHAINI.
Wamekutesa siku 500 gerezani kwa mapenzi yao tuu, hili nalo WATALIPIA ni suala la muda tuu.
REPOST 200.
Nilikuwepo bungeni wakati mwenyekiti anayasema haya..
Polepole alikuwepo na alikua Mwenezi wa ccm kama huyu kijana Kihongosi wa sasa.. alikua chini ya Magufuli na aliamini haya yatawakuta Chadema tu.
Nyie mnaotumika kudhuru kuumiza na kutesa watu.
Your time will come. Acheni upuuzi huo mara moja.
Rais sio Mungu lazima atasemwa na atakosolewa.
Watanzania tunakupenda na tunakushuru kwa hii sacrifice.
Nchi yako iko nyuma yako siku ya leo.
Nimekusomea dua usiku wa kuamkia leo na usiku huu napoingia kulala nitakusomea tena dua.
The LION OF TANZANIA 🇹🇿
Tunaomba kila mmoja wetu, kulingana na imani yake, amuweke Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu katika sala na maombi usiku wa leo, ili kesho ikawe heri. Kwa uzoefu, usiku wa kuamkia maamuzi ya Majaji au Mahakimu huwa mrefu na mgumu mno kwa mtu anayesubiri kuona milango ya uhuru ikifunguka. Ni usiku ambao usingizi unakuwa mbali sana. #FreeTunduLissu
🥇 Last night in Atlanta, our groundbreaking Tanzania investigation won a @NABJ Salute to Excellence Award.
🇹🇿 Thanks to all the brave Tanzanians who trusted us with their stories
@NABJ@FlorenceDAttlee@GianlucaMezzo@BenDoBrown When the Tanzanian media was silenced by the government, we spoke to more than 100 people for this forensic investigation https://t.co/4gaBtscV4K
“Kwa ushahidi wote ulioletwa hapa na upande wa mashtaka hakuna kosa wamethibitisha. Wameleta mashahidi 17. Mmewasikia na mmewaona. Nimeshtakiwa kwa kosa lisilokuwepo katika vitabu vya sheria. Nimeshtakiwa kwa makosa ambayo yametengenezwa tu na hayapo katika sheria zetu. Hadi leo, nimeshikiliwa gerezani kwa siku 496—sawa na mwaka mmoja na miezi minne. Nimekaa gerezani kwa kosa ambalo halipo katika sheria zetu. Kwa mashtaka ambayo ni uonevu, mashtaka ya kijinga, nimekaa gerezani siku 496. Waheshimiwa majaji, huu uonevu mnao uwezo wa kuwezesha ufidiwe kwa kutumia kifungu cha 367. Natakiwa kulipwa fidia. Ni nani atakayefidia mateso na maumivu ya familia yangu iliyokaa bila baba kwa muda wote huu? Sitataja kiasi au aina ya fidia ninayostahili siku ya leo, ila nawaomba mlizingatie hili: baada ya kunipa uhuru wangu, mnipangie tarehe nyingine ili niwasilishe rasmi maombi na mchanganuo wa fidia ninayotakiwa kulipwa.” - Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu Tanzania, 17 August 2026
Jamuhuri imejichanganya kwa kumshitaki lisu kwa Uhaini huku ikitumia maneno ya Lissu kuwa “TUTAFANYA UASI” kama ushaidi kwa kesi ya Uhaini
UASI na UHAINI ni vitu viwili tofauti katika jicho la sheria
Uasi (revolt) ni KUIPINGA serikali
Uhaini (Treason) ni KUISALITI nchi
Note, Nchi si Serikali na Serikali si Nchi
Leo, imekuwa dhahiri kabisa kuwa, Jamuhuri ilikuwa ikiendesha kesi hii kwa danadana za kuiba muda jambo lililozidi kumtesa Lissu mahabusu.
Jamuhuri ilikuwa ikifanya hivi kwa kupeleka mahakamani shahidi mmoja mmoja kila kesi ilipoitwa na saa nyingine Lisu alikuwa anamaliza cross- examination na mashaidi hao saa 5 mchana muda wa kazi wa mahakama ukiwa bado ukitosha kwa shaidi mwingine kupandishwa kutoa ushaidi ili kuokoa muda na mateso ya Lissu.
Lissu akalikemea hili vikali mbele ya majaji na kuwaambia waziwazi kuwa jamuhuri inaidharau mahakama kwa kuwa inajua haina cha kuwafanya.
Ijumaa Jamuhuri ilitoa sababu ya kutomfikisha shaid wao mahakamani kuwa alipatwa na dharula ya kiafya.
“Pontius Pilates” wakaishia tu kubung’aa kama wanasoma talaka(Namuomba Mungu, huu mwandiko wangu usipate uzito wa contempt of court)
Anyway, Jamuhuri ikaiomba mahakama kuwa leo itamfikisha shaidi huyo pamoja na mashaidi wengine wote waliobaki
Leo kwa shambulio la ghafla, Jamuhuri ikatangaza kuwa haina shaidi mwingine yeyote wa ziada bali ilikuwa ni “danganya toto kula kunde mbichi”
Badala yake Jamuhuri ikaeleza kuwa imefunga ushaidi wake lakini kwa guilty conscience ya njia ya Golgota waliyompitisha Lissu, kimaaajabu kabisa katika historia ya criminal proceedings, jamuhuri ikataka kuwahi stand bila nauli
Eti kwa ushaidi wake iliyowasilisha mahakamani ni kama inaona isijielekezee shingo yake kwenye ala ya motion ya prima facie case
Technically ni kama State Attorney alitaka kukwapua majukumu ya DPP ya “Nolle prosequi” yaani kesi iishie hewani bila Lissu kujitetea then kungepatikana political leverage ya jinsi Gavoo ilivyo sikivu na huruma kwa Toto Tundu na pia inakuwa imereconcile na ultimatum ya international community.
Toto Tundu ni Kama akalishitukia bao la mkono alilotaka kufungwa.
Lissu akaja juu kuwa wa kuongelea hoja ya prima facie case ni yeye na hataki mpira kwa kwapani.
Kuwa haiwezekani umshitaki, upeleke mashaidi kisha wewe mwenyewe ndio uwe una hoja ya kuona mshtakiwa ana kesi ya kujibu au kutojibu.
Lissu akaurudisha mpita ulingoni kwa kifungu cha sheria No 312(1)
Akasema yeye ndiye master of ceremony wa kuwaambia majaji kuwa kwa utopolo uliojazwa mahakamani hana kesi ya kujibu
Yaani ni kama Lissu analazimisha iwe on record kuwa hana kesi ya kujibu sio kwa hisani, bali on merit ili atokee kwenye milango ya Ukonga na sio Tungu
Sasa mpira Lissu keshaurudisha dimbani. Naamini mpaka tarehe 21 kutakuwa na simu chache kati ya pale jirani na Kipunguni A, Pale jirani na ofisi ya taifa ya Takwimu, na pale panaponuka shombo la samaki vibua wakijaribu kutumia “residual/ filtrate” best in their possession kuona wanafunikaje pale manyu mwa kuku mbele ya huu upepo mkali?
Great afternoon Daughters and Sons of the abattoir
@KennedyWandera_@HHichilema So you too has been taken by massive propaganda and misinformation? All these accusations are baseless and mere propaganda.