Kuna mtu mmoja kanipa tafakuri moja anasema โUkiona unampigia mtu simu hapokei halafu baadae hakurudishii simu hadi umpigie wewe tena na pengine asipokee mara mbili mara tatu, bado thamani yako ni ndogo sana, unatakiwa kupambana kujiongezea thamani manake heshima huja palipo na thamani.โ Mpaka sasa naitafakari sana sijajua ina ukweli kiasi gani?
Maisha ya utafutaji si mbio za mita 100, ni mbio za marathoni. Wanaoshinda si wale wanaokimbia kwa kasi zaidi, bali wale wanaodumu bila kukata tamaa. Endelea kupambana, siku moja matokeo yatazungumza kwa niaba yako.
@INFLUENCERjr Kumtetea Chid nako ni mtihani, maana Kuna sehemu Kwa Sasa anasema Ngwair alikuwa mtu Mpole Mpole sana.
Sasa, watu wapole (baadhi) ongea yao na uimbaji wait ni taratibu sana!