Ile Ngoma Ya Tekno RARA Kipindi Inatoka Nakumbuka Ilikua Inafanya Vizuri Sana Tanzania Mpaka Sasa Nafikiri Inafanya Poa Ila Kumbe Mwana Mle Alikua Anaongelea Changamoto Za Umeme Nchini Nigeria Nimelijua Ili Kupitia Ay Kwenye Interview Yake EastAfricaRadio ππππππ
@koku_shekya Zile Tabia sijui zilikua zinatoka wapi au kwa sababu wazee ndo Bread Winners kina mama walikua wanaamini wanatakiwa wale vile vizuri viinavyobaki mnagombania mama na watoto ππππ
@kalegamyeh@Henrydan25 Naheshimu sana Chief vichwa vinavyopata matokeo ya kusoma Udaktari miaka ya ivi karibuni coz cut point ziko juu sana sema km alivosema brother apo izo pass mark za juu haziendani na mshahara ambao uyo kipanga atakuja kulipwa baada ya kuhitimu shahada yake ya Udaktari ππππ
@PhysicsJ7@Geeee_123 Bado na zawadi ya Mazda CX5 mshindi wa kwanza kaondoka nayo kk plus icho kitita afu anaemfatia anakula only 5m kk!!! ππππ Utani Aisee