@CarolNdosi Karibuni #Saadani, 100km tu kutoka #DaresSalaam. Hifadhi pekee yenye mbuga, mto mkubwa (Wami), msitu wa pwani (Zaraninge) na fukwe. Pia kuna magofu na makaburi ya enzi za utawala wa Ujerumani. Most diverse national park in #Tanzania. Habari zaidi tembelea https://t.co/HT1C2AFgFk
@AirFranceKLM you should read customer reviews, been trying to call your #DaresSalaam office since Friday but it’s never answered and self-service online says can’t handle the request I need to contact customer service. #poorcustomerservice
On a metered connection, @Apple#iPhone iOS update is +8gb. On the phone it gets stuck on “requesting for update”, using iTunes it downloads 2-3gb, gets stuck, after refreshing instead of continuing from where it reached it starts from scratch, why on earth??
. @VodacomTanzania kama kazi ya kutoa huduma imewashinda, tangazeni kwa umma. Jana wateja wenu tumeshindwa kupiga simu na kutuma SMS na hakuna hata samahani. Leo hatuwezi kutuma/kupokea fedha. Wewe @JerrySilaa hiyo wizara ya mawasiliano ulikwenda kuuza sura na kutetea watekaji?
@lifeofmshaba Hii ilinikuta arnd Geita, tank ya 90ltrs ilibaki kama robo ila kwenye pump yaliingia 90ltrs na bado haijafika full nikamsimamisha jamaa tuweke ltr 10 kwenye dumu. Pump ikawa inaiba kama 15%! Nikaripoti WMA wakawachukulia hatua. Ukiwastukia pigeni picha chukueni risiti report WMA
@lifeofmshaba Safari za usiku za mabasi bora zisitishwe mpaka pale madereva watabadilishwa tabia au kuwe na fine kali kwa madereva na wamiliki wa mabasi. Wanaendesha ovyo sana kama wana immunity na traffic offences: mwendokasi, wanatembea na full light mda wote, wana overtake popote, n.k.