@akilnyingi Yupo sahihi kulingana na chuo anachosoma. Baadhi ya vyuo huwa wanafunga control numbers ukimiss deadline ya malipo, Mwanafunzi inabidi aombe kutengenezewa nyingine, na kulipa kiasi hicho mara moja.
@RKishaija81715 Ni ubinafsi kwa sababu ya manner which it’s done; sio kwa sababu ya matokeo!
Unaacha watu wanaojiona wakosaji, wapweke, na pengo lako lisilozibika. Ni sawa na mtu anayejijali yeye pekee (pathological).
@rugilandavyi Ni vigumu pia kushuka, elimu yetu ni kama vile tunjenga msingi kwanza. Katika hatua hizi ni rahisi kufikia objectives. Mfano; ufaulu wa principal Pass ni daraja la kuanzia, haikupaswa kuwa alama chache kama ilivyo sasa.
Cha kupingana nacho ni reference point, sio matokeo.
@rugilandavyi …. Ukiendelea kuangalia namba hizo utagundua discrepancy.
Mwisho, kuongezeka kwa ufaulu ni expected, kila mwaka kuna maazimio ya kuanzia walipoishia. Kinachochanganya ni utamaduni wetu wa kutokubali ukweli; kwamba hata yakishuka ni vigumu kutangazwa kuwa yameshuka.
@muhimbiliuniver I get that AI does the job, but when it comes to marketing and branding it’s better to opt against it.
Using “cheap” AI graphics communicates sth to possible clienf and audience; it means everyone can do that, even when it’s not the case.
@RKishaija81715@thomasjkibwana Yes, Suicide ni mchakato; from Ideation, intent mpaka kufikia execution.
As long as you can reason it, ni jambo gumu linalohitaji ujasiri. Wanaolifanya wanaweza wasiwe dhaifu (imo) ila nawaona ni wabinafsi (imo).
@ItsKamala Hukujua au hufuatilii!? Rostam alifanikiwa kununua hisa za National Media Group kampuni tanzu yenye makampuni mengii katika sekta ya habari na mawasiliano Kenya, Uganda, na Tz. It made headlines, ni vipi hukujua?
@OnlineDentistTz@mkuuJr5 Policy nzuri sana, lakini ku-cover kila kitu, HAPANA. Bima za wanafunzi zinagharamia flat-rate ya jumla ya 400k kwa mwaka.
Utakapofanya matibabu zaidi ya 400k, itakubidi utumie gharama zako mwenyewe .
@kalegamyeh Moja kati ya early presentation ya pancreatic tumor ni “newly onset DM”. Labda kwa kuzingatia umri and other risk factors it would have been possible kujua kuna uwezekano wa kansa hiyo.
@Kingsley_25 And I would seriously summarize the argument between R10 and CR7.
And if you want to compare other attributes, which one do you compare against the latter and for how long (consistency)?
@Kingsley_25 Football fans attribute injuries-limited careers to mere bad luck, but it’s deeper than that. If you compare two players, playing in similar positions and styles, the more athletic one will withstand the strain, while the weaker one gets injured and their career is forgotten. …