@MariaSTsehai Hii imenikumbusha kifo cha kaka yangu kipindi cha Magufuli na special task niliishia kubeba maiti na kuzika, haya mambo yasikie kwa jirani, inauma sana.
Yanga wanajichanganya sehemu moja muhimu, walipokea barua kutoka club Forte gate kuwaeleza Ile 30m waliolipa tumemalizana kwenye deni la mchezaji mwingine. Sasa Yanga hawakuijibu Ile barua hadi leo. Kampuni zinaongea kwa maandishi, matokeo yake wakaamua ku deposit 30m.
@Aduiwayanga@Twaha_Mwaipaya Maslahi kama Taifa yapo wazi ila sisi Watanzania hatujawa tayari maana hayo hayahitaji vikao tukiwa tayari yanapatikana, ila tusidandie maridhiano ya kisiasa wao wanasiasa na serikali na sisi tujipenyeze humo ni dalili ya ucheleweshaji.