@ahmadomarmo@MariaSTsehai Serikali imetangaza wapo magaidi na wapo waliofikishwa Mahakamani sababu hiyo.Nani.anahujumu uchumi kati ya serikali na hawa wanatoa tahadhari ya kilichosemwa na serikali yanyewe?Acha wavune wanachopanda
@Jambotv_ Huyo kuatumwa.Aliivuruga Nccr akamaliza sasa kahamia huko kwa mission maalumu akimaliza napo ataondoka maana https://t.co/n6AT9DvEXN pandikizi
@Kipanga1986 Hawafanyi hivyo kwa sababu amekuwa mwiba kwa ccm nao wakanzisha kampeni ya awekwe pembeni ili wapumue maana hawawezi kujibu hoja zake.Tatizo ccm hawajasema kama Heche alikuwa cashier au laa.Wanatafuta pa kupumulia
@YerickoNyerereT Ulipata mafanikio kidogo tu ukaanza kujivuna na madharau ya waliokusupport.Hao hao wanakushusha kidogo kidogo na hujashtuka bado.Unafiki kwako umekuwa mkubwa sana
@JamiiForums Ni tatizo la kuongozwa na viongozi waliotoka kwenye familia zilizojawa na umaskini.Kila kitu kwao wanaona anasa.Hela wanazotafuta ni za kulipana posho sii kwa maendeleo ya https://t.co/mynIZpYH7Y unafiki tu wamejawa.nao.Wanadhani watu hawalipi kodi.Tuna viongozi wa hovyo sana
@EngMapundajr Hapo wangepata Youtong 2 ila kwa sababu ni za halmashauri na hakuna kitu CAG atafanya na hata akieleza hakuna hatua zitakazochukuliwa acha ikae hivyo
@Getrude_mollel Hivi unadhani.TEC wanafanya biashara kama.wale.waliopewa magari ya msaada toka uarabuni wakaja kufungua yadi humu nchini?Kama unadhani ni kazi rahisi kupandikiza mtu fanyeni hivyo kwa kanisa basi,โธ maana mnajipanga kwa ligi.Mnaongea ujinga sana kana kwamba hivyo vichwa ni tikiti