@Rydx_017 Mange siyo adui wa CCM mange ni adui wa mtu yeyote anayetoka nje ya msitari hata awe Chadema,, that's why tunamsapot... hilo suala la kisema ety kisa tuichukiaaCCM ndo maana tunampendaa mange,,,
Umejitungiaa wew
@YerickoNyerereT Mmeanza kukanyagana ila mashaihidi wa jamhuri,,,, hamuachi tu contraindications, ndimi mbili tu kama za Nyoka... katuga anakwambiaa adhabu ni 0 to death we uanasemaa ni kifo,,,, hatuwaelewi jamanπ π π€£
@NNgabu_ Hv we ni mgeni humu X, mtu anakutoa Facebook anakudanganya uje kufanya uhanarakati Twitter π€£π, unaongea hata mwenyew huelewi umezungumza naniπ
@abuuaqram@fredyfuam Bora hata ingekuwaa PhD ya Wifi kdog ingekuwa inajielewaa,,Hyo ni ya Bluetooth ππ, imagine ety DPP kaona uhainii.... mpaka wanasheriaa na mawakili wakauonaa uhaini,, Jaman wanaletaa hisia kwenye sheria hawa kina PhDπ€£π