@MwanzoTvPlus Hiyo ni sawa na hukumu ya kifo, maana huyo hatoki mpaka afie huko.
Huku kwetu hata ufanye ubadhirifu kiasi gani mambo ya kushitakiwa sahau.
Polisi wanaposema 'sehemu ya kichwa' ilikuwa hakionekani kimepatiakana maana yake nini.
Je kilichopatikana siyo kichwa chote au hicho kilichopatikana hakijakamilika hivyo watu waendelee kutafuta sehemu iliyobaki?
RIP TEMBA
@INFLUENCERjr Haiwezekani kuwa wamoja kwa sababu ya tamaduni tofauti, uchumi tofauti, na ulafi wa madaraka wa baadhi ya viongozi wa kiafrika. Fikiria kiongozi anakaa madarakani miaka arobaini kwenye nchi yake, je akipewa nafasi ya kuiongoza bara zima si mpka afie huko.