Mtibwa mashabiki tunategemea makubwa kwenye vlp kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, Jumaa Ally Luizio, amerudi kwake na tumempokea,karibu ,nyumbani kumenoga
@Kasesela@RevKishoka Hatari nmeishi huko mbona sijaona dalili za wazi wazi watu wakila nyama ya mbwa, kitimoto sawa inatembea.sio mbwa uongo au utani tu
Ulicho kiacha pwani kakingoje ufukweni 1960-1995,tz Now Ulichokiacha pwani akingoje Dar es salaam au Morogoro ,!wanafunzi elimu imeshuka kiwango tz , asante luguruboy