#Transforming Early Childhood Development in Tanzania 🌍We continues to drive impactful change through relentless advocacy & multi-sectoral collaboration! By uniting gov't, civil society, & private actors, we're ensuring every child thrives from the start. #MaleziCampaign#ECD🇹🇿
TADEPA is Ģreatfully to be part of the National Multsectral Early Childhood Development program( NM-ECDP) system strengthening training to 26 Region and 184 Côuncils in Dodoma.#MaleziCampaign
@GeneralTadepa wadau wetu kutoka Mkoa wa Kagera tunashirikiana pamoja katika utekelezaji wa afua zinazolenga Malezi, Makuzi, na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili kuchochea uwekezaji kutoka kwa Wazazi/Walezi/jamii/Wadau/Serkali kwa Watoto wenye Umri wa miaka 0 hadi 8. #Malezi
it is a great milestone for a country to have NM-ECDP which has brought together relevant stakeholders to strengthen the coordination of the program to support quality Nurturing Care services among children to receive the whole care and support they need during their early years
🚀 Investing in early childhood services is crucial for children aged 0-8! Holistic development: health, nutrition, security, safety, responsive caregiving, and early learning builds a solid foundation for lifelong success. Let’s prioritize their growth and well-being! #ECDAgenda
Kupitia mafunzo yanayotolewa chini ya mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto, kituo cha afya cha Mirerani mkoani manyara kimefunga mapazia kwenye wodi ya wajawazito ili kuimarisha utoaji wa huduma unaozingatia utu, heshima na staha kwa wajawazito wanaohudumiwa kituoni hapo.
TADEPA kupitia mradi wa #Mtotokwanza Kwa Ushirikiano na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera , Jana tulikuwa mubashara kupitia redio Rumuli Fm kwa ajili ya kuhamasisha jamii kuhusu kuwekeza kwa watoto wadogo kwa kuangalia utatuzi wa changamoto zinazozuia unyonyeshaji kwa akina mama
Welcoming participants attending #ECDconference2024, DG @iassumpta said the conference will help improve accessibility and quality service delivery in ECDs. She hailed partners for commitment in making it a reality.
Waheshimiwa @tanpol kitendo kilichofanywa na wale vijana kwa yule binti ni kinyume na katiba ya nchi na haki za binadamu, kwani kina shusha heshima na kukandamiza utu wake,kinachukua sura ya ukatili wa kijinsia (GBV) pia.wahusika wachukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria zetu.
Kofi Annan touched so many lives. Very few people know that he actually started his diplomatic career at @WHO headquarters in 1962, as a budget officer. His journey towards top @UN leadership is an inspiration, and six years since he passed, his legacy remains an aspiration to continue working towards a healthier, safer, fairer and above all a more peaceful world for all. @KofiAnnanFdn
Kofi Annan touched so many lives. Very few people know that he actually started his diplomatic career at @WHO headquarters in 1962, as a budget officer. His journey towards top @UN leadership is an inspiration, and six years since he passed, his legacy remains an aspiration to continue working towards a healthier, safer, fairer and above all a more peaceful world for all. @KofiAnnanFdn
📍Arusha, Tanzania: Our Executive Director @KibwanaMwajuma is at the EAC Regional Education Conference, advocating for increased investment in early childhood development (0-8 years). Collective action is key for quality, inclusive, lifelong learning in East Africa. #ECDAgenda
During the School Health symposium event last week in Mbogwe DC under the project of #USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto provided, school adolescent girls with an opportunity to showcase products and hard skills learnt from their Sexual and Reproductive Health sessions and life skills.
Mradi wa #USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto kwa ushrikiano na ofisi ya Mganga mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe,jana umewafikia wakazi 530 wa kata ya Ngemo na elimu na huduma ya afya ikiwemo maandalizi ya lishe bora,afya ya uzazi na kuwahi kliniki,kansa ya mlango wa kizazi n.k.
It is alarming that more resources and investments are required to ensure all children have access to Opportunities for Early Learning at home and in the communities!
📚 Only 4% of the poorest children have books at home, as revealed in the recent Global Report on Early Childhood Care and Education by UNESCO 2024. . Join us in promoting early childhood literacy and access to books for all. Learn more: UNESCO Report https://t.co/cnJp55QfBB
Quality Health care starts with mentorship & guidance,#USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto project team of Mbogwe DC in Collaboration with R/CHMT of Geita Region managed to conduct a supportive & supervisory visit at Masumbwe RCH Centre to evaluate various sections of service delivery.
Mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanaMtoto, umetoa mafunzo juu ya utoaji wa huduma za afya zinazozingatia utu, heshima na staha kwa kina mama wajawazito wanapohudhuria kwenye vituo vya afya. Mafunzo hayo yametolewa kwa baadhi ya watoa huduma za afya waliopo Ukerewe mkoani Mwanza.